Hapa ni wapi? Ningetamani kufika japo siku moja...

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
17362527_1384803494911179_2809255320341135878_n.jpg
 
Naona kisiwa cha Musira kwa mbali. Watoto wa siku hizi hamjui kulikuwa na JW humo na vifaru vya kudungua ndege za nduli. Msitu ulikuwa mkubwa umeliwa na wajanja. Tangu awamu ya pili ya CCM watu walianza kujichukulia chao mapema. Sasa hivi hufichi hata mzinga. Tuombe tusipigwe tena maana tutaumbuka zamu hii.
 
Hapo ni tandale karibu na manzese mbele kidogo ni kigogo mburahati alafu kile kisiwa ni jangwani mitaa miwili mbele una fika kariakoo ambapo pame pakana vizuri kabisa na Posta ambapo Inapo patikana kasiri ya mkulu ambaye hataki kupangiwa.......
 
Hapo ni Koromije ukiwa unatokea chato ndio muonekano wake

Hata hivyo mazingira sasa yamearibika ukiwa umekunywa viroba ndio utaona kibashitebashite
 
We jamaa hujawahi tembea Tz hii. Kuna maeneo licha ya macho kushangaa view, hadi mapafu yanashangaa hewa ilivyo mubashara. Sio hewa yenu akiivuta Bashite.....Gwajima anaisubiri itoke aivute.
 
Back
Top Bottom