Hapa ni shule ya msingi Kilema. Zamani ilikuwa Seminary ya Wakatoliki kabla Serikali kuichukua.Atakayeweza kutambua hapa ni wapi, natoa Tsh. 10,000/=
Chini nitakuwekea tena picha kurahisisha utambuzi zaidi. View attachment 1313696View attachment 1313698View attachment 1313700
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa uelekeo wa kwenda Kilema kama unatoka Marangu kati ya Eneo linaitwa Tangusa na njia ya kwenda Makomu kwa Mremamoja ya kitu utakachokutana nacho ukiwa unaelekea kwenye hilo jengo. View attachment 1313711
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa possibly ni kati ya Njia ya kutoka Himo kupandisha Marangu not sure anyway....kwa hili