ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Msaada napata tabu jinsi ya kuidownload nifanyeje?
download usiku na vodacom muda wa bundi intanet ndio itakuwa fast..
Msaada napata tabu jinsi ya kuidownload nifanyeje?
vyote unaweza: nenda kwenye settings---> USSDje kuaccess m-pesa??? au kukagua salio????au kuunga wajanja night????:smile-big:
vyote unaweza: nenda kwenye settings---> USSD
nimeulizwa user name na password ya 4shared, nifanyeje kudownload?
Usicheke,
professional za watu hizi!!,
kabla ya kuuliza inabidi u-dig kidogo....
Tukikuhamisha na sisi kwenye jukwaa letu utaanza kutoka mijasho hapa Kimox Kimokole
nimeulizwa user name na password ya 4shared, nifanyeje kudownload?
nimeulizwa user name na password ya 4shared, nifanyeje kudownload?
Fungua account ya 4shared, its easy and simple
ili kudownload 4shared lazima uwe na akaunti yao, jiunge ni bure
kama unaona uvivu kujiunga unaweza kuconnect na ku-login kwa kupitia twitter, fb au gmail
kama unaona uvivu kujiunga unaweza kuconnect na ku-login kwa kupitia twitter, fb au gmail
sawa mvivu wa kulogin