Hapa: New Huawei WiFi Mobile Partner Dashboard

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.

New Mobile Partner.jpg

Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei.

Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh) na Linux.

Jinsi ya Kufanya:

  1. Chomeka Modem yako ya Huawei
  2. Ikifungua Software ya Huawei Modem ambayo ulishainstall awali "IFUNGE"
  3. Run hii Update uliyoidownload HAPA.
  4. Wakati ina-write dashboard hii, Ikifungua software ya Mobile Partner ifunge mpaka itakapomaliza
  5. Sasa Uninstall software ya zamani ya modem yako na ufurahie Dashboard hii Mpya yenye WiFi

Tafadhali Mods Msiunganishe Thread hii kwa manufaa ya Wanajamvi na kama vipi iwe Sticky!!!

WiFi Kimox 2013
 
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.

View attachment 106238

mkuu hata desktop itaweza ku access WiFi kwa kutumia dashboard hii?
 
mkuu Hii Dashboard ni Ya Ku suply Wifi yaani Hotspot... Sio kupokea.... Desktop pia znasuport wifi kutokana na Model.... Maana yake kuna hadware yake ikiwemo kwenye pc uta access tuu
 
Mkuu hii kitu inakubali kwenye modem zote za huawei au ni kwa baadhi yake?
 
mkuu Hii Dashboard ni Ya Ku suply Wifi yaani Hotspot... Sio kupokea.... Desktop pia znasuport wifi kutokana na Model.... Maana yake kuna hadware yake ikiwemo kwenye pc uta access tuu

Shukran kwa msaada, kama desktop yako ina Wireless itasupport kwa ku supply Hotspot
 
Shida ya hii kitu ni hayo matangazo yake ndio siyapendi hata kuyaona.... vipi hii ina uwezo wa kupiga simu na kupokea?
 
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.

View attachment 106238

Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei.

Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh) na Linux.

Jinsi ya Kufanya:

  1. Chomeka Modem yako ya Huawei
  2. Ikifungua Software ya Huawei Modem ambayo ulishainstall awali "IFUNGE"
  3. Run hii Update uliyoidownload HAPA.
  4. Wakati ina-write dashboard hii, Ikifungua software ya Mobile Partner ifunge mpaka itakapomaliza
  5. Sasa Uninstall software ya zamani ya modem yako na ufurahie Dashboard hii Mpya yenye WiFi

Tafadhali Mods Msiunganishe Thread hii kwa manufaa ya Wanajamvi na kama vipi iwe Sticky!!!

WiFi Kimox 2013

Shukrani sana kwa kurahisisha mambo ya wireless kwa kutumia Hotspot. Samahani ndugu napata shida katika kupiga simu maana inaniambia "Call Failed" kila nikipiga simu. Nikitumia simu yangu nyingine kuipigia line ya simu iliyopo katika modem. Inaonekana simu iko bize. Naomba msaada namna ya kusolve hii ishu. Jamaa yangu amefanikiwa inapiga na kupokea simu vizuri. Natumia Huawei E153. Msaada wako unahitajika please katika hili la kupiga simu. Thank you very much.
 
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.

View attachment 106238

Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei.

Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh) na Linux.

Jinsi ya Kufanya:

  1. Chomeka Modem yako ya Huawei
  2. Ikifungua Software ya Huawei Modem ambayo ulishainstall awali "IFUNGE"
  3. Run hii Update uliyoidownload HAPA.
  4. Wakati ina-write dashboard hii, Ikifungua software ya Mobile Partner ifunge mpaka itakapomaliza
  5. Sasa Uninstall software ya zamani ya modem yako na ufurahie Dashboard hii Mpya yenye WiFi

Tafadhali Mods Msiunganishe Thread hii kwa manufaa ya Wanajamvi na kama vipi iwe Sticky!!!

WiFi Kimox 2013
Msaada napata tabu jinsi ya kuidownload nifanyeje?
 
Back
Top Bottom