Hapa ndo nimeilewa siasa

mwanzo wetu

JF-Expert Member
May 4, 2014
1,581
461
Habari zenu wadau... bila kuwa chosheni niende moja kwa moja katika kitu kilicho nisukuma kusema hivi,. Leo nimepata kuongea na mwanajeshi furani mstafu ambaye kwa sasa ni katibu ktk wizara fulani na zaidi tulikuwa tukiongelea hali ya siasa kwa hapa kwetu Tz, jambo alilo niambia amesema serikali iliiweze kuenda vizuri lazima kuwe na watu maarufu au vyama vya upinzani vinavyo wekwa kwa ajili ya kuilinda CCM , akasema kwa mfano Lipumba kwel alikuwa amesha jiuziru ila aliitwa ikulu ndo kupewa majukumu yote tunayo yaona akiupigisha kichurachura upinzani, akasema kwa mfano mlema huyu amekuwa akifadhiliwa na CCM kwa kila kitu ili kuufifisha upinzani kwa mda mrefu na jeshi linajua, akaja akawataja Kambona na Bi Titi, akasema kama kambona wengi waliamini kuwa alikuwa na mgogoro na Nyerere siyo kwel hata alipo enda uingereza alikuwa katika kazi maalumi ya serikali ndo mana aliporudi Tz nyumba aliyokuwa anaishi Kawawa alimpisha akaingia kamboba, halikadhalika nyerere amewahi kumsifia Bi Titi kuwa amefanya kazi nzuri hivyo ajengewe nyumba nzuri. Hivyo vijana wenzangu niwashauri tunaposhabikia vyama vyetu tuwe makini tutakuja kufanywa vilema wakati mkuu wetu anakula bata na watoto wake. Nawasilisha mwenye masikio na asikie.
 
Wanadhani mbowe na Jpm hawapigiani simu nyuma ya pazia.
 
Ukute aliyekuambia hadi amestaafu ni mlinzi kituo tu hadi kustaafu kwake,kisa unajua ni mjeda ukamuamini.

Inawezekana ulisemalo ila wakati mwingine vijana tutumie akili zetu vizuri,nyie ndio mnaoibiwa na hata mfagiaji wa ofisi tamisemi eti atamuhamisha ndugu yako au wewe mwenyewe toka sehemu A kwenda B ukiamini ni "_mfanyakazi wa tamisemi"

Tamisemi ni mfano tu,inaweza ikawa popote pale
 
Back
Top Bottom