Hapa ndipo wanawake wengi tunapofeli

Kama ingekuwa ndoa ni comitment , kila mtu akishaingia basi ajue wajibu wake ..Pande zote wakiheshimu basi haitovunjika hata siku moja..Ila watu hawaheshimu ndoa , mtu bado ana michepuko ya nje ana hata wasiwasi .

Ndoa ilitakiwa maagano ya kweli , mtu ajifunge kifungo kabisa akileta ujinga apate madhara ya kuonekana ..Hapo watu wangeheshimu ndoa .
 
Sure
 
Mbona watu wanaheshimu kazi ,mtu hajawhai kuvunja maadili ya kqzi hata kiaka 35 ..Iweje ndoa na taratibu kila mtu anapewa ..

Hata mtu akiwa malaya ila akiwacomitted na ndoa itadumu ,lazima ajitambue ....Watu wa sasa hwaheshimu ndoa kabisa ... Wanaume tunajipa uhalali wakucheat kama mazombie vile ,watu hawajielewi kabisa ..Mke naye akiamua analipiza hapo ni mtihani.
 
Hivi kuna watu bado wanavumilia mambo kama hizi. Mtu anifanyie vitimbi vyote hivyo na bado nimuangalie asee na pamoja na vitimbi vyote eti tuishi kama zamani. Yani mimi
 
Yaani atiwe mimba na mwanaume mwingine halafu aendelee kuwa mke wangu??
 
Sad...kote kumechangamka
 
Shida wengi hatuwezi kukubali makosa yetu na kujihesabia haki kwenye ndoa.

Ukishajiheshabia haki basi mko mashakani.

Utacheat kisha unaona ni Sawa tuu, hapo umejihesabia haki naye akijua umecheat anaona alipize kwa kucheat.

Madhara yake ni makubwa, mnajihesabia haki kwa gharama za watoto wenu, mimi ni shuhuda wa hizi mambo aisee usipojitoa watoto wanapata tabu kichwani.

Utataka uoe tena, vita inaanza kati ya watoto na mama mpya,

utataka uolewe tena vita inaanza kati ya watoto na babà Mpya.

Hawa watoto watarushwa rushwa mnoo,utaona boarding ni suluhisho aisee boarding hailei watoto

Mungu tu atusaidie
 
Kweli ,kamq tubavyojizuia kunywa pombe ,na vingine basi hata kucheat tujizuie kutokana tayari tuko ndani ya ndoa...Tena tuchukie kabisa kama waislamu tunasivyokula kitimoto.

Kiufupi ukijipa haki na kuhalalisha makosabasi ushaharibu.
 
Kweli ,kamq tubavyojizuia kunywa pombe ,na vingine basi hata kucheat tujizuie kutokana tayari tuko ndani ya ndoa...Tena tuchukie kabisa kama waislamu tunasivyokula kitimoto.

Kiufupi ukijipa haki na kuhalalisha makosabasi ushaharibu.

True,
nilikua nachelewa sana kurudi home kwa siku kadhaa kwa juma either ni kazi Au napitia bar kunywa na jamaa zangu kumbe Bibie kina Mchina na hasemi.
Lakini nikagundua kuwa huwa hapati usingizi maana gono moja tu getini dkk kadhaa yupo getini.

Hapo ni saa 6 Au 7 hapa nilijihesabia haki kama mwanaume sipaswi kupangiwa muda wa kurudi,na huwa tunadanganyana sana Bar😂😂
 
Kisasi kwenye hii dunia hakikwepeki. Ukiona umemfanyia mtu jambo baya akapotezea ujue tu nidhaifu na hawezi kufanya kitu. Lakini nikujidanganya kuwa unaweza kumfanyia mtu jambo litakalomuumiza halafu alilipize
 
Mi nafikiri wajibu ndio suluhisho la majanga ya ndoa. Kila mtu awajibike kwa nafasi yake.
 
Mwanamume hakutaki tena .... Unajilazimishia nini hapo?? Unataka nini zaidi wakati hakuna mawasiliano, hakuna mapenzi tena?

Mwanamke wajibika kwa matendo yako ya uovu ndani ya iliyokuwa ndoa yako....
 
Kila mtu aishi kivyake. Once a women cheat always a hoe
 
Kitu wanawake tujue mwanaume akijaza mtu mimba inabebewa huko mbali!
Wewe ke ukibeba mimba na sio ya mume unaibebea ndani anaiona kila siku!


Sijui lakini ,
Katika vitu sijawahiga kuwaza ni kushindana na mwanaume mwenye wanawake wengi.
Eventually utachoka tu!
Revenge kwa mwanaume mzinzi wala haipo kwenye kutumia mwili wako!
Utachoka tuuuuu!

Af ndo unalipa kucheat unabeba mpk mimba na bado upo chini ya paa la mtu mwingine?

Halaaafu mnapambanaga na wanaume vya nini wakati hamna nguvu za kumudu maisha wenyewe!?
Yani we unabeba mimba ukiwa kwa mume bado?
Unatakiwa kujifungua unapiga simu kwa mume anayejua umemcheat ndo ukabeba mimba?

top top unambambika na kesi,
worse zaidi unadai talaka?
Like serious mnakuwaga mnashauriwa na nani?
 
Kitu uzao sio kirahisi hivyo mnavyowaza!
Mwanaume umwambie ndio umemcheat, yani unakiri kabisa enh ndio , sababu ni wewe ulicheat?
enh ndio hii mimba sio yako! nyiee!
ehehhehehe haki labda kama humtaki mazima!
Kwanza hata kama umemalizana nae na humtaki, kukuacha salama sijui!

Well, some of us wenzenu hatufanyi makosa ya kiwehu hvi
Hata kama biashara imeisha!
Ipo namna ya kumaliza biashara na mtu na wakati wote unakuwa salama!

Sijui lakini, mana wa siku hizi mna maakili mengi!
 
mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ndiyo hiyo sasa my lady 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…