shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Habari wadau..
Unajua wakati wewe unawaza ufanyeje upate kazi TRA, EWURA, NSSF kuna mwenzako anawaza afanyeje ili apate tenda NSSF, TRA au EWURA hapo hapo unapopawaza wewe...
Wewe unawaza kuajiriwa NSSF huku mwenzako anawaza kufanya biashara na NSSF yoyote hata ya ndogo kabisa..
Hapo gap za maisha lazima zije kwa wingi...
Na ndipo kina Lugumi wanapotokea,wengine tunaajiriwa na tunapopawaza sana na wengine wanawin dili za kufanya biashara na tunapopawaza.
Kweli dunia haipo fair na maisha ni zaidi ya kuwaza milo mitatu kwa siku.
ukitaka kuona mawazo yetu yanatupoteza sana sisi tuliokulia familia duni zisizo na exposure. baba na mama wote wanawaza mtoto asome na aajiriwe tu.
ni uumwe serious ile ya kutibiwa best centres kama apollo au millpark south africa tu. uone unavyohaha si mchezo... wakati home shopping alimwagiwa tindikali tu akakimbizwa millpark kwa ndege ya kukodi na hapo hapo akatembelewa hadi na rais hospitalini... na mawaziri kila siku wanapishana kumuona mgonjwa..
sasa umwa wewe mfanyakazi wa wizara sijui ya nini hata bosi wako anakupotezea tu. tena awamu ya kubana matumizi hii.. lazima tuisome namba