Hii staili ya CCM ya ubwabwa hii mbona kama vile .......mmmh!!!.............ngoja ni-reserve comment mpaka nitafute kauli ya Rev. Masa
Jamaa amesimama pembeni ana pen na note book kurekodi idadi ta sahani zilizogaiwa. Halafu maharage yameisha sahani mbili kavu, duh!
Wabadili jina wajiite C.C.U. CHAMA CHA UBWABWA