A ah ah aaah, mi nadhan uhodari wake wa kuimba nyimbo Kali na zenye swaga za kipekee ndo zinazomfanya awe juu..sidhan kama jide ana heavy scandal kihivyo kusema anazitegemea zimeweke juu