Hapa ndio kijijini kwetu ..!!

Kaka mi siamin kabisa.coz hatuna mikakat endelevu ya kufanya hayo.umeme wenyewe umekua wakuunga unga na majengo hayo kila kitu umeme hapo.

Bila kuyaondoa madarakani haya majamaa tutabaki hapa hapa!
 
Bila kuyaondoa madarakani haya majamaa tutabaki hapa hapa!

Yas apo umesema mkuu.kabisa kabisa.kila kitu hovyo.but mi wakat mwingine nahis ss tumelaaniwa au nn., we have a lot of resources but why were still poorest people in da world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…