Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,972
- 168,459
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
my dia ngoja nikusahihishe ulipokesea n u cn do vise vesa,sijalaamika,I said a prayer to my God,nikijua mm ni mkosefu.

hapa ni sehemu yenye kuvutia unaweza ukanuna weee na baadae kujikuta unacheka
I like zis place
mkosefu wa kweli ataoba msamaha. Niombe msamaha mimi kwanza kwa kudharau michango yangu na kuamini huwezi kubaki na reputation yako kama ukinisoma au kujibu maoni yangu.
Unanidhalilisha sana. Mbona kuna wengi tu wanchagua kubaki kimya? Kwa nini wewe hufanyi hivyo???????????
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
babu ni wewe kama sikosei mlileteana mabifu na nguli hapa ukafungua tread uombwe samahani,kama niwewe unaonekana unamind sana mabifu yasiokuwa na mpango.mkosefu wa kweli ataoba msamaha. niombe msamaha mimi kwanza kwa kudharau michango yangu na kuamini huwezi kubaki na reputation yako kama ukinisoma au kujibu maoni yangu.
unanidhalilisha sana. mbona kuna wengi tu wanchagua kubaki kimya? kwa nini wewe hufanyi hivyo???????????
mnaonaje tupange kukutana sehemu kwa ajili ya kufahamiana?
Hope itakuwa nzuri, haya mambo ni madogo sana wala hayana haja ya kuyaendeleze.
Tusameheane tu tuondoe vinyongo tulivyonavyo. Hamna aliye mkamilifu...
Mnaonaje kesho jioni tukikutana sehemu, let it be at city centre?
Pale florida pub patafaa?
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
Naomba unisamehe sana kwa yote niliyokukosea
naona leo wewe na lulu tu..kakufanyeje kwani??
ameeeeenpardon granted unconditionally.
Mungu akubariki na uwe na amani. nimefurahia pia mwaliko wa anko wa kukutana kwa ajili kufahamiana na nyama choma baahti mbaya siko dar. i would like to next time
the game is over, sing haleluja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ha ha haaa,limefurahi jamaa yangu dhaifu kweli huyu.pardon granted unconditionally.
Mungu akubariki na uwe na amani. nimefurahia pia mwaliko wa anko wa kukutana kwa ajili kufahamiana na nyama choma baahti mbaya siko dar. i would like to next time
the game is over, sing haleluja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
...............sawa, lakini tuna makinda humu pia, lama pearl!!!!!!!!!!! analalamika mambo ya kipuuzi kule kwenye thread yake!!!!!!!!!!!
babu ni wewe kama sikosei mlileteana mabifu na nguli hapa ukafungua tread uombwe samahani,kama niwewe unaonekana unamind sana mabifu yasiokuwa na mpango.
pacha wangu leo kaamkiwa na jamaa!!! kila aendapo anae!!!Naona leo wewe na Lulu tu..Kakufanyeje kwani??