Hapa napo panaitaji majibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa napo panaitaji majibu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fox, Sep 26, 2012.

 1. f

  fox JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Story ilianza hivi...MATOKEO YA FORM VI LINI,Kitu soon kikatoka...Iliyofuata ni MKOPO LINI UTATOKA,hapa yalisemwa mengi sanaaaa finally majina yakatoka...Sasa STORY iliyo mtaani "KWANINI MAJINA YA CONTINUING HAYAJAJUMUISHWA" hapa napo panavuta hisia za watu kibao hususani wale wahusika yani CONTINUING student ingawa WALIHIMIZWA NA BODI KUOMBA MKOPO MWAKA HUU 2012/2013 na wengine walikuweko kati ya majina yaliyowataka warekebishe fomu zao.
  SWALI;JE BODI IMEWASAHAU WATU HAWA NA KUWAPOTEZEA KABISA AU BODI IMEKUJA NA SERA MPYA YA KUDEAL NA FRESHERS TU!
  Haya ngoja tusubiri tuone Story ye2 itaendelea vp?
   
Loading...