Wachumi tuna jambo letu moja huliita DEMAND and SUPPLY. Mahitaji yakizidi thamani ya kitu inapanda na kinyume chake pia ni sahihi.Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,
Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.
Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha
Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Huo ndio ukweli haiwekan wanawake 2 lakn anashindwa kuwavua chupi na wanaingia had ghetoHauvutii sexually....kuna watu huwa hawana ule mvuto wa kufanya nao mapenzi.... yani unatamani uwe nae tu abaki kuwa mpenzi mtazamaji. Kuna maeneo unakwama.
may be staili yako ya kuomba inaboa
Kama hajakuelewa bas Ni debe huyu jamaa Ni debe tupuKosa la kwanza: Kumpa mwanamke kila anachotaka wakati HUJAMLA
Kosa la pili: Kuendelea kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambae hataki umsogelee wala umguse
Itaendelea...
Kama vipi usiombe, muite geto mnywe akishalewa anza kumshika...akilegea tu mpelekee motoSasa natakiwa niombaje? Shule inahitajika
Hao wanawake ni kabila Gani na umri wao miaka mingapi?Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,
Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.
Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha
Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Nadhan mleta mada n wale wa kanda maalum wa MAMA BHOKE INAMA NIKURENGE
Kama vipi usiombe, muite geto mnywe akishalewa anza kumshika...akilegea tu mpelekee moto
😂😂😂Hauvutii sexually....kuna watu huwa hawana ule mvuto wa kufanya nao mapenzi.... yani unatamani uwe nae tu abaki kuwa mpenzi mtazamaji. Kuna maeneo unakwama.
may be staili yako ya kuomba inaboa
Umepata wanawake wazuri umewaacha sababu ya uzinzi wako...
Weka picha yako kwanza hapa tukuoneHabari za uzima wana familia ya JF wenzangu,
Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.
Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha
Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Pole sana mkuuHabari za uzima wana familia ya JF wenzangu,
Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila
Asante kwa ushauri nduguAkikupenda mama ako inatosha