kwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION
Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama
#Free Lissu nk
Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO ELECTION.. Mwathirikab mkuu akiwa Milard Ayo
Government organs nyingi ilibidi zifunge sehemu ya comment kwa yale waliyopost kwakuwa asilimia karibia 95 ziiijaa NO REFORMS NO ELECTION! Ni almost mitandao ili parallysed na hizo slogans toka kwa wachangiaji
Ni mpaka jana mchana upande wa pili walipokuja na OCTOBA TUNATIKI.. Ambayo bado inachechemea kwakuwa ni kama imevamia gari kwa mbele ambalo liko kwenye spidi kubwa
Octobatunatiki sidhani kama itauweza moto wa NORE NOE.. Maana ni HIARI vs SHURUTI... Na hiari siku zote yashinda utumwa.. NoRe NoE watu wanajitolea lakini octobatunatiki inaandaliwa bajeti
Bila kupepesa macho unaweza kuona ni nani kajaa kwenye mfumo wa mwenzake!
No tresspassing.. Otherwise! Vitasa😂
hio movement yenu ni ya kishamba! unasema no election na hakuna kitu unaweza kufanya kuzuia uchaguzi kama sio pombe ni nnUmeelewa nilichoandika kweli?
cha ajab mnamuongezea tu mataizo jamaa kama juzi mpaka mahakama imebidi imuonyeUmeelewa nilichoandika kweli?
Muktadha wa mada ni swali nani kaingia kwenye 18 za mwenzake.... Naona nawe umeshaingia kwenye mfumo maama umeshindwa kuwaza tofauti😀hio movement yenu ni ya kishamba! unasema no election na hakuna kitu unaweza kufanya kuzuia uchaguzi kama sio pombe ni nn
kua wa kwanza ama wa mwisho sio hoja, ata mm naweza anzisha movement yoyote lakini naanzisha kelele tu ama naanzisha mkakati? tukiangala no reform yenu, haina mantiki kwa sababu kuzuia uchaguzi hamuwezi, amna haja ya kuingiza watu kwenye matatizo ambayo ytaishia kuwaletea laaana tuMuktadha wa mada ni swali nani kaingia kwenye 18 za mwenzake.... Naona nawe umeshaingia kwenye mfumo maama umeshindwa kuwaza tofauti😀
mnachokitafuta mtakipata vizuri sana, unajua ni familia ngap znalia kwa sababu ya izi movement zenu, alafu ikija mda wa utekelezaji mnapanda chopa mnaenda majuu? uku nyuma mnawaaminisha eti kwamba 🤣 🤣 🤣Tuupe muda wakati
kua wa kwanza ama wa mwisho sio hoja, ata mm naweza anzisha movement yoyote lakini naanzisha kelele tu ama naanzisha mkakati? tukiangala no reform yenu, haina mantiki kwa sababu kuzuia uchaguzi hamuwezi, amna haja ya kuingiza watu kwenye matatizo ambayo ytaishia kuwaletea laaana tu
watu wamepoteza maisha kwa sababu ya hizi movement zenu za kishamba
toka jamaa alisababisha familia yetu kuishi kwa hofu hatujawahi tamani kumuona tena home, na undugu wote ila tushamwambia mambo ya chama usituletee kabisaaaaaaaTulishakipata😭😭😭View attachment 3360116
Tulishakipata😭😭😭View attachment 3360116
Free tundu lissukwamba mnataka kuzuia uchaguzi ama 🤣 🤣
tafuta ela kijanaFree tundu lissu
No reform No election