Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!
Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!
Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!
Umeelewa we KIJANA?
Sijui unaota? Tena mchana!.Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!
Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!
Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!
Umeelewa we KIJANA?
Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!
N aitawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!
Mmepotea rudini kundini! matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Temeke na Kinondoni hakuna foleni?
Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!
Turudi kuzimu?
N aitawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!
Mmepotea rudini kundini! matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!
Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!
Umeelewa we KIJANA?
jimbo yataludi tena bila jasho,sisi tulimchoka Masha na Diallo,wapo vijana wa uhakika sasa wana piga jaramba muulize huyo mjaluo wako hata kazi aliyoomba haijui na sijui anatarajia kuwaambia nini wanamwanza mwaka 2015.
sasa jacob kwani wenje anapita barabara ipi hadi sisi tuende ofisini kwake?KWANI PESA ZA BENK YA DUNIA MMESHA ULIZIA ZIMEFANYA KAZI GANI?ok ofisi ya wenje ipo nendeni mfikishe malalamiko na siyo muongee kama watawaliwa bali zungumzeni kama watawala maana nyie ndio walipa kodi wa jiji na lazima zitumike kwanza kwenye vitu vya msingi.
Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!