Hapa mmetukanwa mashabiki wote wa timu hii

Hapa mmetukanwa mashabiki wote wa timu hii

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1394639195.349291.jpg
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, unabahati wenye timu hawajapita pande hizi
 
sijaelewa

nini ambacho hujakielewa hapo yangekuwa maneno peke yake ungedai picha sasa hat a kama picha nayo huelewi duuuuuuu

au hayo maandishi ya lugha ya malkia?
 
Hizi allegations UEFA wanazifanyia kazi inaweza kuikost Buyern Munich kuliko mnavyofikiria.
 
kumbe wajerumani wakorofi!!!!
 
this is what is called civilization in western countries!
 
nini ambacho hujakielewa hapo yangekuwa maneno peke yake ungedai picha sasa hat a kama picha nayo huelewi duuuuuuu

au hayo maandishi ya lugha ya malkia?
LEGE lets assume nimeelewa..daah maana ulivyopanik mdau, its just an european photo, chill african:biggrin1:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom