Ngoja nikuanzie mbali kidogo, kisha nijibu maswali yako kwa kuweka msingi huu wazi.Ushirikina ni nini? Nani alianzisha ushirikina? Kwa manufaa gani aliuanzisha? Unaweza kuthibitisha ushirikina ukoje kwa kuutenganisha na nadharia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubali dunia imeumbwa au imejiumba ? Swali hili lina maana, naelekea kujibu swali maswali yako. Usiwe na haraka.