Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,662
Yupo sahihiAlaf kila siku anasafiri nje ya nchi
Israel ipo Asia na siyo Europe, ukihamia huko huwezi kusema umehamia ulaya hapo umehamia AsiaYupo sahihi
Tunazungumzia kabumbu Musonda hajaenda kulima machungwa huko Israel,Israel ipo Asia na siyo Europe, ukihamia huko huwezi kusema umehamia ulaya hapo umehamia Asia
Kwa kujibu swali lako ni hivi, kuanzia mwaka 1994 Israel kwenye Mpira ana full membership ya kucheza mashindano ya bara la ulaya..... Kimchezo Israel inatambulika na kuwepo ndani ya shirikisho la ulaya, hata hio club ya musonda alipo ipo kwenye pre eliminary stages za Europe league/conference Moja wapo hapo Sina uhakika SanaIsrael ipo Asia na siyo Europe, ukihamia huko huwezi kusema umehamia ulaya hapo umehamia Asia
Upo sahihi 100%, ligi ya Israel ipo chini ya uefa, so anacheza soka la ulayaTunazungumzia kabumbu Musonda hajaenda kulima machungwa huko Israel,
Soka la Israel lipo under UEFA
Sijauliza swali itakua umechanganyaKwa kujibu swali lako ni hivi, kuanzia mwaka 1994 Israel kwenye Mpira ana full membership ya kucheza mashindano ya bara la ulaya..... Kimchezo Israel inatambulika na kuwepo ndani ya shirikisho la ulaya, hata hio club ya musonda alipo ipo kwenye pre eliminary stages za Europe league/conference Moja wapo hapo Sina uhakika Sana
So kitenge yupo sahihi 100%
Ki mpira Israel ipo Europe siku nyingi mkuu. Muwe mnatumia hata google.Israel ipo Asia na siyo Europe, ukihamia huko huwezi kusema umehamia ulaya hapo umehamia Asia
Kushiriki Eefa haifanyi Israel kuwa ulayaTunazungumzia kabumbu Musonda hajaenda kulima machungwa huko Israel,
Soka la Israel lipo under UEFA
Nilicopy na kupaste tu statement niliyomjibu mto mada.... Lakini kuna ufafanuzi pia unaolenga kauli yakoSijauliza swali itakua umechanganya
Kwahiyo kimpira ikiwa ipo Europe na Israel nayo inakua ipo ulaya?Ki mpira Israel ipo Europe siku nyingi mkuu. Muwe mnatumia hata google.
Musonda ni mchezaji wa mpira, ligi anayocheza ipo ulaya, Kwa hio unataka tuseme musonda katimkia ligi ya Asia au??? Kitenge kaongea lugha ya mpira na analenga hadhira ya wanamichezo sio Wana jeografia sioni kama kakoseaKwahiyo kimpira ikiwa ipo Europe na Israel nayo inakua ipo ulaya?
Ndiyo, kwa muktadha huo Israel ipo ulaya. Musonda hajaenda kuuza kobazi, kaenda specifically kucheza mpira.Kwahiyo kimpira ikiwa ipo Europe na Israel nayo inakua ipo ulaya?
Kitenge anawalenga wanampira na wamemuelewa, hapa naona sisi tupo busy kubishana na Wana jeografia mkuuNdiyo, kwa muktadha huo Israel ipo ulaya. Musonda hajaenda kuuza kobazi, kaenda specifically kucheza mpira.
Angeongelea ligi ndo angesema ulaya ila kuhamia kahamia AsiaMusonda ni mchezaji wa mpira, ligi anayocheza ipo ulaya, Kwa hio unataka tuseme musonda katimkia ligi ya Asia au??? Kitenge kaongea lugha ya mpira na analenga hadhira ya wanamichezo sio Wana jeografia sioni kama kakosea
Tofauti yako na kiazi na magandaNdiyo, kwa muktadha huo Israel ipo ulaya. Musonda hajaenda kuuza kobazi, kaenda specifically kucheza mpira.
You are a devil's advocateAngeongelea ligi ndo angesema ulaya ila kuhamia kahamia Asia
Hata Mimi nilitaka kukushauri hilo... Sio kwamba hajakuelewa Bali sio Kila mtu ni mwepesi wa kukiriYou are a devil's advocate
Hapa naona tutakesha,I rest my case!!! Sawa kaenda Asia🙌🙌