Hapa masihara yamezidi mh.makamu wa Rais

Hapa masihara yamezidi mh.makamu wa Rais

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,326
Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal
amesema serikali itahakikisha hadi
kufikia mwaka 2015 kila mkoa
utakuwa na uwanja wa ndege wa
kisasa....hahahaha naona
MWANASIASA anafanya kazi yake
hapa. Come on Dokta, imechukua
zaidi ya miaka 10 kwa Airport ya
Mbeya kukamilika....
 
hahahaha! tatizo wameisha gundua ya kwamba watanzania wengi wanapenda kuahidiwa hata kama ni pumba! kwahiyo tuwachukulie kawaida coz hawajagundua kwamba watanzania huko walishatoka! hapa ni kuwaombea kwa Mungu awasamehe dhambi zao hasa dhambi ya ufisadi na uongo.
 
Me huyu jamaa cjui hata kazi yake haswa ni ipi
 
Back
Top Bottom