Hapa lazima kitanuka tu.............!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Eeeh Mungu naomba Meseji zote zijifute kwenye in box na kwenye sent item

tp-why-did-i-get-married-angela-660x450.jpg
 
iliwahi nitokeaga mkuu tangu siku hiyo simu yangu haikosi password.

Duh ilikuwa kasheshe lakini kitu nilikuja kugundua saa nyingine inaongeza mapenzi maana kama wewe ni mwanamke na unachit mwanamke anataka kujua huko nje unapata nini na yeye akufanyie duh mzee nilikuja kupewa kitu sijawahi pewa ili tu nisitoke nje baada ya ugomvi mkubwa sana. chakuchekesha sasa yaani wanaume tu watu wa ajabiu sana yaani hata ukikamatwa uko juu ya kifua mzee unaweza sima uongo na mwanamke akaamini eti wewe umekamatwa uko juu ya kifua unamwambia mwanamkwe sio wewe unasingiziwa tu na yeye anakusamehe au unamwambia ni shetani tu alikupia
 
Duh ilikuwa kasheshe lakini kitu nilikuja kugundua saa nyingine inaongeza mapenzi maana kama wewe ni mwanamme na unachit mwanamke anataka kujua huko nje unapata nini na yeye akufanyie duh mzee nilikuja kupewa kitu sijawahi pewa ili tu nisitoke nje baada ya ugomvi mkubwa sana. chakuchekesha sasa yaani wanaume tu watu wa ajabiu sana yaani hata ukikamatwa uko juu ya kifua mzee unaweza sima uongo na mwanamke akaamini eti wewe umekamatwa uko juu ya kifua unamwambia mwanamkwe sio wewe unasingiziwa tu na yeye anakusamehe au unamwambia ni shetani tu alikupia
 
Eeeh Mungu naomba Meseji zote zijifute kwenye in box na kwenye sent item

tp-why-did-i-get-married-angela-660x450.jpg

iliwahi nitokeaga mkuu tangu siku hiyo simu yangu haikosi password.

Duh ilikuwa kasheshe lakini kitu nilikuja kugundua saa nyingine inaongeza mapenzi maana kama wewe ni mwanamme na unachit mwanamke anataka kujua huko nje unapata nini na yeye akufanyie duh mzee nilikuja kupewa kitu sijawahi pewa ili tu nisitoke nje baada ya ugomvi mkubwa sana. chakuchekesha sasa yaani wanaume tu watu wa ajabiu sana yaani hata ukikamatwa uko juu ya kifua mzee unaweza sima uongo na mwanamke akaamini eti wewe umekamatwa uko juu ya kifua unamwambia mwanamkwe sio wewe unasingiziwa tu na yeye anakusamehe au unamwambia ni shetani tu alikupitia
 
HII TABIA YA WANAWAKE KUCHUNGUZA SIMU ZA WAUME ZAO NI MBAYA SANA. INALETA UGONVI USIO KUWA NA MAANA HATA KIDOGO. Kufuatana na uzi huu njia salama ni kuweka password kwenye simu, tafadhalini hebu nielewesheni jinsi ya kuweka password kwenye simu!!
 
iliwahi nitokeaga mkuu tangu siku hiyo simu yangu haikosi password.

Duh ilikuwa kasheshe lakini kitu nilikuja kugundua saa nyingine inaongeza mapenzi maana kama wewe ni mwanamke na unachit mwanamke anataka kujua huko nje unapata nini na yeye akufanyie duh mzee nilikuja kupewa kitu sijawahi pewa ili tu nisitoke nje baada ya ugomvi mkubwa sana. chakuchekesha sasa yaani wanaume tu watu wa ajabiu sana yaani hata ukikamatwa uko juu ya kifua mzee unaweza sima uongo na mwanamke akaamini eti wewe umekamatwa uko juu ya kifua unamwambia mwanamkwe sio wewe unasingiziwa tu na yeye anakusamehe au unamwambia ni shetani tu alikupia

Mkuu, kwenye red;kitu gani? FUNGUKA.
 
HII TABIA YA WANAWAKE KUCHUNGUZA SIMU ZA WAUME ZAO NI MBAYA SANA. INALETA UGONVI USIO KUWA NA MAANA HATA KIDOGO. Kufuatana na uzi huu njia salama ni kuweka password kwenye simu, tafadhalini hebu nielewesheni jinsi ya kuweka password kwenye simu!!

Kama hauna chochote kibaya na mnaaminiana,, wala hatakuwa na muda wa kuangalia simu yako. Tatizo wanaume wengi vicheche
 
Ni kweli wanaume wengi ni vicheche kwasababu,traditionally, all african men are supposed to be polygamous,it is a symbol of masculinity!!
 
Ndoa ndoano!

Haahaahaa:). Hii picha iko katika sinema inaitwa Why Did I Get Married; hii tukio inatosha kukufanya ujiuize KWA NINI NIIOA kwa kuwa tiff lake hadi Kova anaweza kuitwa kusaidia kumtoa wife shingoni mwako!
 
Back
Top Bottom