Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Nmecheka sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
HahahaBasi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani.Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
Nilicheka walipoulizwa nyie sio wapenzi iweje mlale chumba kimoja eti jibu likawa VYUMBA VILIJAABasi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
Nilicheka walipoulizwa nyie sio wapenzi iweje mlale chumba kimoja eti jibu likawa VYUMBA VILIJAA
ngoja wambea waje!Waungwana mara nyingi wasanii wanapolalamika dhidi clouds media wengi wao huwa wanamlalamikia Ruge Mutahaba na kumchora kama mtu mbaya na anayewanyonya wasanii. Wengine wameenda mbali zaidi na kusema Ruge ndiye muasisi wa mifumo yote mibovu na ya kinyonyaji iliyopo katika muziki. Rejea Sugu na vinega wake nakadhalika.
Nimejaribu kusoma wosia wa aliowahi kuuandika Lady Jaydee mwaka 2013 kuhusu mgogoro wake na clouds media nikakutana na maneno haya hapa.
"Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??"
Hapa Lady Jaydee alitaka kusema Kusaga ni mtu mbaya kuliko Ruge? Je Kusaga alimfanyia kitu gani Lady Jaydee hadi akafikia hatua ya kuona bora Ruge kuliko Kusaga?
ulikua unapiga chabo?Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
her=hereNgoja nitarudi na more hard copy, of Information... I want to Transform same member brain her
[emoji15]Nilicheka walipoulizwa nyie sio wapenzi iweje mlale chumba kimoja eti jibu likawa VYUMBA VILIJAA
Khaaaaa!!!Basi tu jide hana kizazi ila angekua wa kwanza kuzaa na ruge kabla zamaradi.. tena mtoto wangempatia Africa kusini yaani enzi zile wanaenda kwenye Kora awards wanajifungia hotelini wee mpaka tamasha linaisha .. wanarudi bongo wakiulizwa nini kiliendelea wote hawajui.. wametoka mbali hawezi msema vibaya rugge
Kikubwa industry imekua na vijana wengizaidi wanapata ajira basi tunamshukuru Mola.