jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Jul 5, 2012 #1 Hata kama ni mwalimu wa mazoezi lakini si kwa style hii,huyu kuna kitu anataka si bure.
jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Jul 5, 2012 Thread starter #2
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 528 Jul 5, 2012 #3 kazi kweli kweli ukikubali unaliwa
promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,706 Reaction score 935 Jul 5, 2012 #4 Duh! mie hilo litanishinda..
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,326 Reaction score 7,807 Jul 5, 2012 #5 jchofachogenda said: Hata kama ni mwalimu wa mazoezi lakini si kwa style hii,huyu kuna kitu anataka si bure.View attachment 58061 Click to expand... Hahahah, sana hapo si kashika vipochi manyoya, au naona vibaya?😱
jchofachogenda said: Hata kama ni mwalimu wa mazoezi lakini si kwa style hii,huyu kuna kitu anataka si bure.View attachment 58061 Click to expand... Hahahah, sana hapo si kashika vipochi manyoya, au naona vibaya?😱
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Jul 5, 2012 #6 Hapa hata ukiwa na moyo wa chuma yatakushinda, inataka moyo, ibilisi asikuingie!!
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,335 Jul 5, 2012 #8 pata picha unamtembelea mke wako au mchumba wako mazoezi unakuta kakunjwa hivo uku mwalimu wake akimshika nyeti hivo
pata picha unamtembelea mke wako au mchumba wako mazoezi unakuta kakunjwa hivo uku mwalimu wake akimshika nyeti hivo
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Jul 5, 2012 #9 Mwenzenu walaaa hana dhamira hiyo bali ni mawazo yenu
H Henry Philip Senior Member Joined Jul 29, 2008 Posts 113 Reaction score 32 Jul 5, 2012 #10 BLB said: namwonea wivu Click to expand... Duh! alivyowakamata, inaonekana ni kawaida. alafu mbona kama kawapiga dole vile? hebu cheki fresh.KAMA NI MKE WANGU ZOEZI HAENDI TENA, HIVI MASIHARA MJUE? CHEZEYA HILO ENEO WEYE?
BLB said: namwonea wivu Click to expand... Duh! alivyowakamata, inaonekana ni kawaida. alafu mbona kama kawapiga dole vile? hebu cheki fresh.KAMA NI MKE WANGU ZOEZI HAENDI TENA, HIVI MASIHARA MJUE? CHEZEYA HILO ENEO WEYE?
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jul 5, 2012 #11 Halafu kwani hakuna sehemu nyingine ya kuwashika ili kuwasapoti mpaka hapo kwenye kipochi manyoya jamani. Kama ni hivyo na mm nitaanzisha ya kwangu, tena bila kiingilio.
Halafu kwani hakuna sehemu nyingine ya kuwashika ili kuwasapoti mpaka hapo kwenye kipochi manyoya jamani. Kama ni hivyo na mm nitaanzisha ya kwangu, tena bila kiingilio.