GE2025 Hapa kuna Uchaguzi kweli? Huyu hapa mgombea wa Urais wa ADC "akinadi" sera zake kwenye viwanja vya Tanganyika Packers

GE2025 Hapa kuna Uchaguzi kweli? Huyu hapa mgombea wa Urais wa ADC "akinadi" sera zake kwenye viwanja vya Tanganyika Packers

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Kwa picha hizi mwaka hakuna Uchaguzi kabisa yaani ni maigizo tu.

Mgombea wa urais kupitia Chama cha ADC, Wilson Elias akinadi sera zake katika mkutano wa chama hicho uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 27, 2025 katika viwanja vya Tanganyika Peckars jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga

Mgombea wa urais kupitia Chama cha ADC, Wilson Elias akinadi sera zake katika mkutano wa chama .webp



Mgombea wa urais kupitia Chama cha ADC, Wilson Elias akinadi sera zake katika mkutano wa cham...webp
 
McLaren tatizo ni nini hapo mkuu wangu, huyo mwenye baskeli, watoto wanaocheza mpira hapo uwanjani au kifimbo cha mgombea mkononi?
 
Back
Top Bottom