Mimi kuna mmoja naye hivyohivyo na aliniambia hataki kuchezewa na kuachwa hivyo nijipange nikajitambulishe kwao hata kwa ndugu zake wachache,nikamkubalia hata kwa wazazi wake ila ndio hivyo mara nikipiga simu yake nakuta busy...mara hajibu msgs ila eti bado anasema mimi ndio ntajuwa mume wake mtarajiwa. Nikaona hajui anachokifanya na ANA UTOTO MWINGI. Nikaachaba naye...sasahv nipo krb na rafiki yake ananipigia sana na kunitext sana.