kwanza siku ya kwanza tu nikichat na wewe nikaona unaniandikia
mala badala ya Mara
nicje badala ya Nisije
Mxaada badala ya Msaada
Kabixa badala ya Kabisa
Nxhapata badaya ya Nimeshapata
Nikiona tu uandishi wa namna hiyo, Huwezi kuwa mpenzi wangu.
simu sio mbovu aliniblock whatsapp akidai simu imearibika ila nilvomtafta kwa no. nyngne nkamkuta online kama kawaidaHivi vizinga vidogo kama raba vitatue au kutengeneza simu mizinga isiyokuwa na maana ikizidi kupitiliza ni haki yako kukataa tofaut na hapo kama hayo machache yanakushinda unayumba
akivaa hivyo kwani K inahama au?mbona huelewi bro..
achana na hao wanaoandika x badala ya s au k badala ya ok..
demu wako atakua kanyoa denge, kachora way kichwani, mvaa vibukta au pens
pole sana...
wapi mnaongea kufurahisha genge tukwanza siku ya kwanza tu nikichat na wewe nikaona unaniandikia
mala badala ya Mara
nicje badala ya Nisije
Mxaada badala ya Msaada
Kabixa badala ya Kabisa
Nxhapata badaya ya Nimeshapata
Nikiona tu uandishi wa namna hiyo, Huwezi kuwa mpenzi wangu.
Kwahiyo unataka na wewe uhudumiwe?utamu pote pote mama
Asili ya mwanaume ni kukuhudumia mwanamke na kumtunza. Tafuteni hela vijana.Utamu si tunasikia wote
anaenda certificate katoka 4m 4, mwaka jana, ila ana vizinga kila siku wala sio hata kwa wiki, ukimtext ni kosa, na bando mda huo waga linaisha