Hapa kuna mapenzi kweli

Hapa kuna mapenzi kweli

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,416
Hela kiasi fulani tu aliniomba ila kumwambia wakati mwingine nakua sina. Imekuwa kero aisee.

Screenshot_20191029-181106.jpeg
 
Mapenzi yapo bloo. Si ameshakwambia yeye 'cio wale wanaake wenye tamaa za pesa, cpo hko kbxa anajiongeza jinci ya kupambana mwenyewe apate hizo laba avae hyo tar nne' .......

Ila mnajuana wenyewe na uandishi wenu huo aisee. Ndege wafananao huruka pamoja.

Mapenzi yapo hapo bloo. Mnunulie 'laba' uone hiyo tarehe nne kama haji.
 
Hivi vizinga vidogo kama raba vitatue au kutengeneza simu mizinga isiyokuwa na maana ikizidi kupitiliza ni haki yako kukataa tofaut na hapo kama hayo machache yanakushinda unayumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom