Wewe hukupata mwingine......? Katendwa sasa anakurudia.......Stuka.......
Wewe hukupata mwingine......? Katendwa sasa anakurudia.......Stuka.......
Sa jawabu unalo afu unauliza tena, kweli umepiga ugali na msusa mpaa unaona giza giza:biggrin:Kiukwel kwa sasa moyo unagoma kumpokea na hisia za mapenz kwake zilisha kufa.
Ndugu zangu nifanyeje?
Kwani mbaya? Kiporo hakihitaji moto mwingi aisee
Ni kweli kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa lakini kwake hicho siyo kiporo, ili kiwe kiporo ni mpaka uwe ilishapiga dushilele kisha mkaachana.
Jamaa hana hisia nae huyo demu ni bora akakaa naye mbali sana maana inawezekana huko aliko katendwa na kwa sababu demu hakuwa na hisia nae siku jamaa akirudisha majeshi kiulaini anajilia kiporo chake halafu jamaa aaze kuumizwa bila sababu ya msingi.
Kwani analipiza nini? ilikuwa lazima makubali wakati ule? Binti alikuwa hajawa tayari sasa ndio yuko tayari.Kula mzigo ulipize machungu alafu sepa kwa speed ya fighterflight!!
Ni kweli ashituke huyo hapo hakuna mapenzi na hakuna maana yoyote ya kusema ale mzigo kisha asepe kwa maana haitamsaidia kitu chochote.
Kwani analipiza nini? ilikuwa lazima makubali wakati ule? Binti alikuwa hajawa tayari sasa ndio yuko tayari.
Si ndiyo Mkuu wangu NATA? Demu sasa hivi yuko tiyari, haitakiwi amuumize kama yeye alivoumizwa kwa kumkataa!! Ni jukumu la Msela kuzama chumvini ili asimuumize, na kwasababu (pengine) jamaa alishapata kwingine asing'ang'anie!!
Au NATA ungependa amuumize kama alivoumizwa!!?
Nahisi dadangu unalolisema ni kweli!!! Yawezekana jamaa ni second choice!!!Wewe hukupata mwingine......? Katendwa sasa anakurudia.......Stuka.......