Hapa kuna kundi dogo lenye nia ovu linalotaka kufanya yake kwa sababu mwendazake hatarudi

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,427
Tutambue ya kwamba CAG ni binadamu, kama alivyo mtu mwingine ndivyo ilivyo kwa CAG kwamba yamkini ni mtu wa mlengo wa kushoto na yupo kwa sababu ya kundi fulani lenye mlengo huo.

Si ajabu akafuata ya kundi hilo la mlengo wake.

Sina kumbukumbu vizuri ya nchi husika lakini ipo nchi hapa Afrika ilipata machafuko ya maandamano na jeshi kumtaka kiongozi wa nchi aondoke mamlakani, mwisho wa siku yule kiongozi alitoroka kwa kutumia magari kwenda nchi jirani, kesho yake nchi ikatangaza kiongozi yule aliondoka na bilion nyingi za fedha.

Ukweli ni kwamba siyo aliondoka na pesa kabeba isipokua machafuko yale na kuondoka kwake kuliwapa watu wabaya mwanya wa kuchota pesa nyingi kwa kisingizio cha kutoroka kwa kiongozi yule.

Mwendazake alifanya makubwa sana na wananchi wasio na sauti mitandaoni wanajua. Hapa kuna kundi dogo lenye nia ovu linalotaka kufanya yake kwa sababu mwendazake hatarudi.
 
Ko hoja yako ya msingi ni nini!!?

Acha wivu mzee utakuja kujikuta umekua mchawi kruuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Uzuri zumari zenu hazibadili chochote.
Yaani ni kama nzi tuu kwenye kinyesi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Unateseka kutoka wapi mzee!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…