Hapa Kuna Kufaulu Kweli!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Hizi adhabu nyingine hata kuelewa huwezi kuelewa unachofundishwa!

67220_161825253842041_100000437012547_421946_686532_n.jpg
 
huyo mwingine ndio hata viatu hana, hiyo pembeni itakuwa ni biashara ya teacher kuuza icecream au maji ya kunywa.....Tz bado sanaaaa
 
huyo mwingine ndio hata viatu hana, hiyo pembeni itakuwa ni biashara ya teacher kuuza icecream au maji ya kunywa.....Tz bado sanaaaa
Umeona eeeeh! Kwa kweli tunasafari ndefu sana, hapo akirudi nyumbani ni kutafuta maji ambayo yanapatikana umbali wa zaidi ya kilometa 5, kupika kuosha vyombo, ............ hapo muda wa kujisomea ataupata wapi!
 
Wote tumesoma mazingira kama hayo na bado tumefaulu, kufaulu ni detrmination and focus ya mwanafunzi tu
Tumefaulu ndio katika mazingira magumu, lakini hali hii ni ya kuiacha iendelee hivihivi?
 
Watanzania,

Kura yako, ndio Slaa yako.

Usikubali kupoteza Silaha yako Okutoba 31, itumie vyema.

KURA YAKO.......NDIO SLAA YAKO.
 
Hii kitu inaitwa "shika masikio" adhabu nilizozichukia kuliko...
 
Wote tumesoma mazingira kama hayo na bado tumefaulu, kufaulu ni detrmination and focus ya mwanafunzi tu

Kama mwalimu ni vodafasta, vitabu hakuna, una kaa mbali, nyumbani mama wa kambo, umeme hakuna, maabara hakuna. Focus na determination peke yake havitoshi kufaulu ni ndoto!!
 
Back
Top Bottom