Hapa kuna kuchepuka kweli? Wake wanne

Suleimani alikua na wake mia kadhaa na Masuria ya kutosha. Hao wanne tu, kwann asichepuke?
 
Hata hapo, Tanzania wapo wenye vifaa vya kuzidi hao kwenye picha na bado ni wazinzi wa kunuka na kutupwa.

Mbaya zaidi ndiyo wanaokaa mbele ya viti vya mbele vya hizo dini uchwara hizi za kigeni.

Islam, Christians , any other religions or none religions. Wengi wako ivyo hivyo.
 
Tamaa mbele mauti nyuma. Hataweza kuwatengea na watam cheat. Mdudu ataingia nyumbani
 
Ah WAP hayo mabonge unatakiwa uwe na kinguvu cha ziada bila ivo utaonekana bwege yan hao wataka kila kitu ufanye ww

Hapo ukiwa huna nguvu utalibinua round mbili tu we mwenyewe chaliiiiiiiiii, S f, .n !x z. X. . ñkkik'.:mn, m,¿¿99999999/¿#:################################…?…¿mo
,m.jj..!m..o.ms . X .zzzz.. .. X,
Usitishwe na ukubwa wa lori nafasi ya dereva ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…