Hapa kuna kuchepuka kweli? Wake wanne

Jamaa kachagua tandam zote, hajui kumix ladha.
 
Mh kwa mizigo hyo kama kweli atakua anaipga vile inavotakiwa sidhani kama atakua na tamaa ya kutaka kuchepuka


Mi nshawahi kuwa na tandamu hilo ilikua in shidaaaa ikitokea kawiki umefululiza lazima mwili utauskia unakua kama unamaumivu ya ndani kwa ndani
 
Kuchepuka lazima co ombi mana angekuwa hana tamaa hasingekuwa na wake wote hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…