Wote Hao ni wazee maanake wamechoka.. Kwa LUGHA nyepesi veta ifanyiwe mabadiliko hasa kwenye slybuss inazofundisha ijikite kwenye mafunzo hasa ya tanzania inayokuja ya viwanda
SIDO - Bashite. VETA - Bashite ......lengo la hizo institutions ilikuwa kutoa mafundi mchundo wa kubuni viwanda hasa SIDO ilikuwa ibuni viwanda vidogo vidogo ambavyo vingelikua na kuwa viwanda vikubwa... ikaishia Bashite. Veta ilikuwa ya kutoa vijana wabunifu wa kwenda SIDO... nayo ikaishia BASHITE
Veta mbona wako poa? Hawa jamaa vifaa wanavyo, Tatizo sylabus zao za kizamani na walimu waliowengi pia wa kizamani.
Walimu wenye elimu ngazi ya Diploma na Degree unaweza kuwahesabu wamejaza walimu wa zamani ambao hata fomu four hawakwenda au walipata Bashite.
Hlf veta imesahau jukumu lake la kutoa mafunzo imewekeza kwenye management tu.
Sido ndio kabisaaaaa bado wanachonga majiko ya mkaa na visu
Veta na siro imewatoa Vijana wengi ambao wamekuja kujiajiri mtaani tena ni mafundi stadi!
Syo hao wa mlimani mtu Ana maliza course ya uhandisi anasoma kwa kukariri tu.....practical zeroooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.