CRITICAL MIND
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 416
- 404
Ukweli usiopingika ni kuwa kama si Kinana Kuzunguka nchi nzima kwa miaka takriban 3 kukijenga chama na CCM kuamua kumteua Mgufuli tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi
Sasa wakati Magufuli yuko bize kuweka mambo sawa na kwa kweli tunaona utendaji wa kazi umebadilika sana serikalini.
Sasa cha kujiuliza inakuwaje Abdulrahman Kinana haonekani na wala hatumsikii? Kama magufuli kashaanza na kasi ndani ya serikali je kwa nini CCM kama chama wako kimya? Naamini washafanya postmorterm na wanajua walikosea wapi na reforms zipi zinatakiwa kufanywa kuanzia kwenye grassroots level mpaka taifa.
Bila kusahau suala la Zanzibar ambalo nalo ni doa kubwa kichama.

Yuko kwenye vikao vya ndani, jamaa waliemteua ishu ime backfire
Wewe mjamaa nina hamu yakukutana na wewe ana kwa ana, maana unaongea vitu kuntu mno,pia napenda mno ur stand.Kinana yupo na sasa ni wakati wa Serikali kufanya kazi zake, chama kimefanya kazi kubwa sana na utamuona baada ya muda si mrefu akienda kukagua ahadi za serikali.