Hapa kazi tu

McCain

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
1,168
Reaction score
517
jamaa aliona Mambo magumu kaamua kujiongeza simu ya watu kilichomkuta ni siri yake atawapa taarifa na wenzake
 
jamaa aliona Mambo magumu kaamua kujiongeza simu ya watu kilichomkuta ni siri yake atawapa taarifa na wenzake
Ndani ya manuspaa ya sumbawanga
 
Du kweli njaa kali kaamua kuchukua simu ya watu angalau ajipooze ........................but ametiwa nguvuni haraka iwezekanavyo......!!!!!!!!!!!!!
 
Du kweli njaa kali kaamua kuchukua simu ya watu angalau ajipooze ........................but ametiwa nguvuni haraka iwezekanavyo......!!!!!!!!!!!!!
Tumemdunda
 
Dyu!! "Uchawi" hakuna siku hizi huko eeeh!!!!?
 
Vitendo vya wizi havivumiliki ndio maana akapigwa..natumai siku nyingine atajifunza
 
Ningekuwepo na mm ningempiga japo busu
mm siwapend wez yn nawachukia
 
Huyu chalii anazingua sana hapa mtaani.... Juz kaiba flat na redio kwa jiran hapa kona ya meku.... ipo siku yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…