HAPA KAZI TU# Slogan hii inatumika vibaya!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ni wazi kua Wananchi kila kinapotokea kitu kizuri hukitumia kinyume kwa manufaa yao binafsi!hii ni hatari sana hii.

Hii slogani sasa inatumiwa vibaka na wanyang'anyi kutisha raia wema! Hata pale wanapopanga kufanyia mtu kinyume cha utu, haki na desturi utasikia "HAPA KAZI TU"

Hivyo basi vyombo vya kulinda usalama wa raia vishughulike na magenge haya.
 
Mahanju-Toa mfano,sijakusoma vizuri

Leo tu asubuhi wakati naelekea kwenye majukumu nimemsikia mwanana mama mmoja akilalika kukwapuliwa pochi yake na vibaka maeneo ya misuna hapa mjini Singida, walimvizia asubuhi mapema wakati nae anaelekea kazini wakimwbia "Toa kila kitu hutaki tunakumaliza,hapa kazi"
So sad!
 
Back
Top Bottom