hapa kazi ipo. . .

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
CLASSIC:-
[BOSS TO SECRETARY]
Jiandae kesho tuna safari
ya kikazi.
[SECRETARY TO
HUSBAND]
Mume wangu kesho
nitasafari na boss kikazi.
[HUSBAND TO
GIRLFRIEND]
kesho wife wangu
anasafiri,kuwa huru kuja
unipe raha.
[GIRLFRIEND TO
STUDENT]
kesho usije shule
nimepata dharura..ambia
mzazi wako we ni
mgonjwa.
[BOSS TO SECRETARY]
Samahani,safari
imehairishwa mwanangu
ni mgonjwa haendi shule
kesho nataka kukaa nae.
[SECRETARY TO
HUSBAND]
Kesho nitakuwepo boss
amehairisha safari.
[HUSBAND TO GILFRIEND]
kesho usije,huyu kenge
wangu kahairisha safari
yake.
[GIRLFRIEND TO
STUDENT]
kesho nitakuwepo njoo
shule kama kawaida.
 
... Roho Mtakatifu kavunja ekaru la shetani.
 
Hili ndilo linalonifanya nisifikirie kuoa kabisaaa! Zangu ni kunywa soda ya kopo, nikimaliza natupa.
 
Tujiulize, TUPO WANGAPI?
 

Huu ndoo mtandao haswaaa
 

tulizanaaaa!!!!
 
si wanaume wala wanawake wote inabidi tujiheshimu na kuridhika na mpenzi/mume mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…