Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,147
- 48,389
Kuna maneno aliyachapisha January Makamba kuelekea uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama chake CCM kwa mwaka 2015 yamenitafakarisha Sana.
Hivi haya maneno ya Makamba yalikuwa yamelilenga kundi lipi ndani ya chama chake?
Jee CCM kuna kundi ilikuwa likishinda uchaguzi wa mgombea Urais wa Chama hicho mwaka 2015 nchi yetu ingeendeshwa na walafi?
Hao walafi kwa Sasa bado wamo ndani ya CCM ama hawapo. Na kama wapo wana nafasi gani kwenye chama Chao au serikalini?
Jee hao walafi ndiyo walimfanya Makamba asiwe mgombea Ubunge kwa Jimbo la Bumbuli?