James St. Patrick
Senior Member
- Jun 23, 2011
- 172
- 72
Wakuu salama?
Nilisafiri kwa muda wa wiki 3, kurudi nikajuta kifurushi cha tv kimekwisha (natumia azam ug) basi nikachukua waya wa dish nikachomeka kwenye tv direct, nika add satellite kama 2, ku search nikapata channel ka 40+. kwahiyo nikashindwa kuelewa ni kwangu tu au na wengine mnapata hizi channel
.
NB: natumia dish la startimes na lnb nilinunua tu dukani.