Hapa angekuwa JK

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,448
Reaction score
139,362


Siwezi kufikiria 'reaction' hapa ingekuwaje kama huyu angekuwa JK.

Kazi na dawa,maisha hayasimami.
 
Angewapa wapigapicha simu yake wampige picha aweke facebuk.
 
Halafu mngemuanzishia thread ya kumponda hana kazi,hayuko serious!!

mkuu watz hasa wa kizazi hiki ukianza kuwafuatailia kila wanachosema utakuwa chizi.

Wataponda leo kesho watasifia.
Yaan akili ya walio wengi kama kiungo cha binadam flan. Katkat kipo,nyuma kipo,upande kipo chali kipo.
Yaan hicho kiungo hakieleweki kipo upande gani. Hata baadhi ya watu humu akili zao ndivyo zilivyo
 
Halafu mngemuanzishia thread ya kumponda hana kazi,hayuko serious!!
Wewe hapo Russian mpk hivyo vitu vinahappen serekali imeshapata kodi ya kutosha.JK angeishia kupiga picha na kucheka basi tushamzoea na ndiyo rais.
 


Siwezi kufikiria 'reaction' hapa ingekuwaje kama huyu angekuwa JK.

Kazi na dawa,maisha hayasimami.

Hujawahi kuelewa watanzania wanataka nini.

Ingekuwa JK amewaletea wananchi amendeleo au ametimiza ahadi zake za kampeni basi hata akienda kulala kule playboy mansion watu wasingekuwa na haja naye.

Ila hajafanya cha maana ndio maana chochote atakachofanya watu wanamponda tu.

Angalia Jacob Zuma.
 


Siwezi kufikiria 'reaction' hapa ingekuwaje kama huyu angekuwa JK.

Kazi na dawa,maisha hayasimami.

Kama unakumba mwaka jana LH alimzarau wala hakuongea naye, this time mwenyewe ali-make sure anakuwa karibu na kumuwahi ili amsalimie ... kajamaa kajinga sana. Phew!
 
Lewis naye ana'dye' na ku'blond' nywele ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…