Hao wazee hapo klabu Yanga wanafanya nini

Hao wazee hapo klabu Yanga wanafanya nini

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
Kwanza wazee hapo klabuni yanga wanakazi gani fukuza kila siku wapo hapo wanakazi gani majungu tuu kama mimi kiongozi ningefukuza wote naweka walinzi tu na huyo anaeitwa bhinda kazi majungu tu shauri yenu
 
Kila mtu kiongozi pale, utadhani mipango ya club ni kuifunga simba!
 
Back
Top Bottom