Hao chatu na chui wapo wapi sasa!!

mbwana semsimbazi

Senior Member
Sep 5, 2013
196
202
MKE: Honey naomba unisaidie kitu.
MUME: chochote mke wangu nitakufanyia, unajua nakupenda..
MKE: Naomba ukaue Chatu, na kisha chui halafu uniletee ngozi zao.
MUME: Hivi wewe unakichaa, ndio mambo gani hayo?? Siwezi bwana omba lingine.
MKE: Naomba Simu yako nisome msg za kawaida na WhatsApp.
MUME: Hao Chatu na Chui wapo wapi sasa??
 
Back
Top Bottom