Hans Pope ampiga kijembe Manji

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Hii imetokea leo wakati, Jonas Mkude akisaini mkataba wa miaka 2 mbele ya waandishi wa habari wa kuitumikia Simba Sc.
Namnukuu,
"Baada ya sisi kumsaini Okwi, Manji alisema anaweza kusajili wachezaji wote wa Simba na akawaweka Coco Beach. Sasa hiyo kauli ndiyo imemkosesha Mkude kwa sababu yeye [Mkude] hakutaka kwenda mchangani, bali alitaka kucheza mpira uwanjani"
 
Nasikia wanamtaka na Msuva akakipige pale msimbazi.
 
wakimwaga mpunga wa maana mbona anaondoka? Hata Domayo kwenda azam walisema hivyohivyo kuwa ni ndoto ya mchana

Mpunga wa maana utoke wapi?simba???
Hahahaaaa
 
Utawasikia yanga bei ya msuva ni 700m -1b.
Rejea bei ya ngasa 240m wakati anaongeza mkataba wakampa 30m. Hehehehe.
 
wakimwaga mpunga wa maana mbona anaondoka? Hata Domayo kwenda azam walisema hivyohivyo kuwa ni ndoto ya mchana

Msuva amebaki mwaka 1 katika mkataba wake. Hivi sana anachorewa ramani tu. Yanga wasipokua tena makini, watashangaa lile filamu la Domayo linajirudia msimu ujao.
 
"Kule Yanga kuna kijana wetu Msuva, tunawapelekea Yanga barua ya kutaka kumsajili. Tunajua ana mkataba, watatupa masharti na sisi tupo tayari kuyatekeleza na tutamsajili" Zacharia Hans Pope.
 
Tangu nizaliwe Sijawah sikia simba imeipiga yanga kwenye usajiri,labda yanga iwe haimuitaji huyo mchezaji eg okwi
 
Tangu nizaliwe Sijawah sikia simba imeipiga yanga kwenye usajiri,labda yanga iwe haimuitaji huyo mchezaji eg okwi

Nilisikia mnataka kwenda FIFA kupinga Okwi kuchezea Simba, hivi hii inshu imeishia wapi?
 
Na kweli Real ya Kijitonyama hivi Kavumbangu na Domaya walichukuliwa na nani kutoka wapi?Mashabiki maandazi bwana.Real my foot.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…