Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,417
Huyu jamaa labda mi nimemuelewa tofauti lakini naona kama anatafuta justification ya kumtema shemeji yetu. Jaribu kumuacha uone. Kwani ukiwa na kiu maji huwa yanatoka yenyewe kwenye mtu uyanywe? Omba ukipewa, tusua utulie. Au huwa pia hakupi ushirikiano alofundishwa unyagoni?Shida nini sasa kiongozi..? kama unahitaji na unapewa na mauno juu regardless umeanza ww hata sioni shida.
Ukitaka uwaelewe wanawake utaishi kwa stress maisha yako yote. Hao Mungu mwenyewe ndo anawaelewa .
Yaaah, inawezekana ana sababu zake binafsi ila tu asianze kumu-undermine mtoto wa watu kwa mambo kama hzo.Huyu jamaa labda mi nimemuelewa tofauti lakini naona kama anatafuta justification ya kumtema shemeji yetu. Jaribu kumuacha uone. Kwani ukiwa na kiu maji huwa yanatoka yenyewe kwenye mtu uyanywe? Omba ukipewa, tusua utulie. Au huwa pia hakupi ushirikiano alofundishwa unyagoni?
Sio kweliKama huyo dada ni mchaga sawa, huwa hawana nyege za dushee kabisa, sana nyege na hela, mguse na hela zitapanda kila siku
Kweli Mkuu ,Shida nini sasa kiongozi..? kama unahitaji na unapewa na mauno juu regardless umeanza ww hata sioni shida.
Ukitaka uwaelewe wanawake utaishi kwa stress maisha yako yote. Hao Mungu mwenyewe ndo anawaelewa .
hili nalo wazo.Amekosa ham na wew
Kuna kitu kinamtafuna moyoni....maybe kuna kitu unamfanyia amekijua....!!
Mfano.una mchepuko amejua ila hajakubananisha bado...!!hakuambii so inamtafuna kwa ndan
Inauma sana yani ila ndio maisha lazma yaendelee. Mwanamke akifa hisia ni kimeoMwanamke ambaye anakusumbua kukupa papuchi wewe Kama huyo wako..
Kuna mwenzio anaambiwa "Wewe tu ukipata muda niite"
Amabokoooo.....eeh... Amabokooo!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukienda kazini kuna mwenzako huko anapewa viuno vyakufa mtu... Sikia mkuu tafuta mchepuko afu nawewe uwe unamringia uone kama hajakuanza
Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachoka
Hilo wazo mkuu linakuja afu linakataa
Basi hali unayoipitia ni ya kawaida tu mpe muda atajirudi maana mapenzi yamehamia kwa mwanao sasa hv.
NB: mimi sijaoa ila nina rafiki yangu na yeye anapitia kipind km hik ila alipata ushauri na akaelewa.
Hamna kinachoharibika.Usichepuke, sio solution, uhitaji wa kulala na mke wako ni muhimu, kuchepuka una haribu!
Umemaliza kila kitu mkuu.... yani nimesoma zote nilipofika hapa nikatulia kwanza ....Ukioa hilo ndo tatizo la Kwanza kubwa
Sasa lapili akipata mtoto hapo ndo hata ukimgusa utakuwa unamnajisi tu
Unadhani wanaume wanatembea na wanawake nje wakati mke Ana mimba au mtoto mchanga ni kwamba wajinga sanaaaaaaaaaaa hapana ni wanaendaga kupunguza hisia zao halafu wanakutana na Mambo matamu kupitiliza wanajisahau na kupotelea huko...
Ndugu yangu sio peke yako wametofautiana kidogo sana wote wanapenda mcheze cheze na mito na kuangalia movies pamoja ukileta hbr za sex wengi wao hawanaga mood mpk ajue umeanza kupenda mwanamke mwingine..
Mi nilitatua hilo tatizo kwa kumpigia tukio maana nilihisi alisahau kuwa Nina kaumalaya kdg basi nikatafuta mtoto wa chuo kimoja akahisi nimepiga bila ushahidi Toka siku hiyo yeye ndo anaanzisha sex mi sina mda kbs
Usifuate njia zangu sio nzuri
Wanawake, mwanaume akikosa sex inayojitosheleza huna Cha kumpa akaridhika Hunaaaaa na wala hujawahi kuwa na kitu Cha kumpa mwanaume akaridhika Kama sio sex toka Enzi na enzi mwanamke aliweza kumcontrol mwanaume kupitia good sex na sio kingine.Invest kumpa furaha kitandani uone utakavyoitwa malaika uone utakavyo Kula mema ya nchi Kila rahisi bila kutumia nguvu.
Mnasemaga wanaume hawarogeki embu tafuta mwanaume anayekupenda halfu Mpe good sex uone kama huo uchawi hautampata