FundiNgoma
Senior Member
- Dec 26, 2019
- 138
- 283
A- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukariTunaweza kulala mpaka asubuhi hajanigusa huku natamani aanze maana kwangu mimi Mgegedo unaninogea kama wote tuna mood sio mimi tu ndo niwe na mood kila siku mpaka huwa najistukia sometimes visababu kibao eti amechoka ,Hili jambo huwa linaniumiza maana mimi ni moja ya wanaume ambao hatuna time na hizi mambo za kuchepuka ..
Hatumii chochote kati ya hivyo mkuu,ngoja niendelee kumuhimiza japo nimeshaongea sana mpaka nahisi nachokaA- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukari
B- Je natumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango?
A na B hapo juu hupunguza libido kwa kiasi kikubwa sana, na swala la tendo huwa kama kero kwa mhusika maana hana hisia yoyote.
Ongea naye tena. Huenda akakuelewa na kuacha uvivu iwapo hana tatizo la kifya lolote
Ukweli mchungu, Asante lakiniNdo tatizo la kulazimisha mapenzi, hupendwi hapo mkuu..kwake unaonekana kero kama kero nyingine tu!
Hujatoa solution je ikiwa anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango afanyeje ili kurejea katika hali ya zamani?A- Je hana tatizo la kiafya? kama kisukari
B- Je anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango?
A na B hapo juu hupunguza libido kwa kiasi kikubwa sana, na swala la tendo huwa kama kero kwa mhusika maana hana hisia yoyote.
Ongea naye tena. Huenda akakuelewa na kuacha uvivu iwapo hana tatizo la kifya lolote
Tuna mtoto mmoja miaka minne na tumeanza kuishi wote ni miaka miwili sa hiziVp mna mtoto au watoto wadogo?
Hilo wazo mkuu linakuja afu linakataasasa si uchepuke tu mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku akigundua una mchepuko ndio siku mtaanza mapenzi rasmi na viuno vitapigwa mpaka ukimbie.
Dah!!!Mwanamke ambaye anakusumbua kukupa papuchi wewe Kama huyo wako..
Kuna mwenzio anaambiwa "Wewe tu ukipata muda niite"
Basi hali unayoipitia ni ya kawaida tu mpe muda atajirudi maana mapenzi yamehamia kwa mwanao sasa hv.Tuna mtoto mmoja miaka minne na tumeanza kuishi wote ni miaka miwili sa hizi
tatizo hili hapa, fanya kinyume chakena hizi mambo za kuchepuka