Handsome wa jamiifotos! Simtaji

Le.... shati lake moja linafunika Vitz:A S wink:
 
mshana jr, goja akusikie, atapanda champion sasa hv, harafu sikutetei
 
nilikuwa kama nasinzia fulani nataka kulala, niliposoma hii kitu usingizi umeisha kabisa, hahaha, kwa nn huyu jamaa watu wanamfanya kama mtoto
 
le mutuzi yuko na mbebezi wa ukweli u know wanakula bata tu
 
Jamani mbona huyo mtu anasemwa sana jamani?Hebu muacheni apumue
 
Hapo shati lake ndo alikuwa kashafunikia vitz au?
 
wewe mburulazz huwezi kupiga picha basi mabebezz wa ukweleezzz
king of all social media

ha! ha! ha! ha! ha! ha!


le mashauzi
 
nilikuwa kama nasinzia fulani nataka kulala, niliposoma hii kitu usingizi umeisha kabisa, hahaha, kwa nn huyu jamaa watu wanamfanya kama mtoto

Sio wanamfanya kama mtoto, yeye mwenyewe ndo anajifanya bado mtoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…