Handsome vs cute

Handsome kwa ME
Cute kwa KE

Ila kwa KE tafuta neno lingine la kuendana na umri kuwa amekua. Mfano hata neno Beautiful poa tu.. or Beauty n.k. utakavyo
 
Ukiwa na pesa, you will be all of the above
Msidanganyane ukiwa na pesa zitapendwa pesa tu ila sura mbaya itabaki pale pale na shababi mwenye sura ama mwili wenye mvuto anaweza aka kulia mwanamke wako hata mkeo.[emoji23]
Watu wote wanapenda vitu vizuri wa kike kwa waume
Hakuna mwanamke asiyevutiwa mwanaume handsome, mtanashati, cute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…