handsome up inasaidia au watanzania wanaibiwa?

tanira1

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
942
Reaction score
159
wakuu nimekuwa nikiona teknolojia ya kutumia kimtambo kinaitwa handsome up kwenye gazeti la uwazi kazi ya kimtambo hiki ni kurefusha na kunenepesha uume bila kutumia kemikali je kinasaidia au ufisadi mpya? kinauzwa 150000. napenda majibu kutoka mtumiaji au rafiki wa karibu wa mtumiaji
 
If you weren't born with it, you can't have it.
 
kumbe ukiwa mrefu na mnene ni deal eeh
 
wenzio tunatafuta cha kukondesha na kufipisha we unataka kuongeza? Unafikiri unene na urefu ndio utamu? Mwishowe watakukimbia!
 
wenzio tunatafuta cha kukondesha na kufipisha we unataka kuongeza? Unafikiri unene na urefu ndio utamu? Mwishowe watakukimbia!
bro kama alivyochangia dada lizy hapo juu najua yuko sahihi lakini hofu yangu ni kwa wadanganyika wenzangu maana 150000 ni parefu nataka kuwafumbua wasizame uko watumie vizuri vidogo vyao
 
Kama una kadude kadogo nenda kakaongeze tu ili uwakomeshe masista duu.
 

Dhamira iliyotumika katika kutengeneza kifaa hiki ni kama ifuatavyo:

1. Kifaa kinatambulika kwa dhana ya Vacuum Constriction Device (VCD). Unaweza kupata habari zake zaidi kwenye WikiPedia (Wikipedia)

2. Lengo la kifaa hiki SIO kurefusha WALA kunenepesha uume, bali kuwasaidia wale wote wenye matatizo ya kuwa na mhemko wa kutosha kutokana na sababu za kiafya au kimaumbile. Wako ambao tunawaita "wenye shida na majogoo wao kuwika", si kwamba - ASHAKUM SI MATUSI - ni mahanithi, bali kutokana na maradhi kama vile Kisukari na kadhalika, wanakuwa wamepoteza nguvu zao za kiume, kwa kuwa mzunguko wa damu unakuwa hautoshi.

3. Kifaa hiki kinasababisha kuwapo kwa ukosekanaji wa hewa - vacuum - kinapotumika, na hii husababisha damu kuvutwa na kuufanya uume uwe katika hali yake ya kawaida, huku utepe maalum wa kuzuia damu hiyo isitoke uumeni unabakia sehemu inayopaswa kuwa, kwani mtumiaji anapokitumia kifaa hiki, ukosekanaji wa hewa unasababisha vacuum kuufanya uume ujae damu na hatimaye kiwango kinachotakiwa kufikiwa kikifikiwa, mtumiaji anakitoa na kubakia na "pete" inayozuia damu isitoke, hivyo kuweza kufanya tendo la ndoa ipasavyo

Kwa hiyo tambua kwamba kifaa hiki, HandsomeUp si kwa madhumuni ya KUKUZA na KUNENEPESHA au KUREFUSHA uume, bali kumsaidia mwenye matatizo hayo ya "kusimamisha" aweze kusimamisha na kumridhisha mwanamke, awe mpenzi wake, mchumba wake, mke wake au hata "wa kuokota".

NIMESOMEKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…