Handsome Kenny akamatwa na unga Mbeya

Handsome Kenny akamatwa na unga Mbeya

Ila kwann wengi ambao Wanakamatwa kiasi wanachokutwa nacho cha drugs kinafanana Sana, mmhh,ivi kuna Fala Kweli ambae anauza unga akakubari kulala na mzigo ndani awamu hii, maana wote wanaokamatwa wanakutwanao ndani mzigo,, pongezi Kwa Task Force Ya madawa Ya kulevya
Drug dealers wanajulikana wote, so kama kuna anaendelea na biashara hii na ushahidi unakosekana dawa ni kumtwisha kilazima zigo hilo akafie mbele!
Na-support kwa hali na mali hawa watu kupotezwa
 
Drug dealers wanajulikana wote, so kama kuna anaendelea na biashara hii na ushahidi unakosekana dawa ni kumtwisha kilazima zigo hilo akafie mbele!
Na-support kwa hali na mali hawa watu kupotezwa
Huoni kama itatumika husuda tu kuwaingiza kina Gwajima tena?
 
Back
Top Bottom