Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hahahahah ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe
Hahahahah ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe
Hata sijui jamani mwenyewe najishangaa tuHaha umeanza lini kunimic we mke mtu
Ndio wanaaminika kwamba ndio wasomi
Aisee kumbe, lakini kwenye uzi huu anatafuta marafiki
Hey your welcometo find beatiful ladies here
Marafiki wa nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nishapata, mimi hii itakuwa hainihusu.
[emoji1][emoji1][emoji1]Unanitia majaribuni ujueHata sijui jamani mwenyewe najishangaa tu
Majaribu gani tena jamani we mume wa mtu[emoji1][emoji1][emoji1]Unanitia majaribuni ujue
YeahBora wewe hukuniwekea hicho kigezo.
Nishapata, mimi hii itakuwa hainihusu.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089] ngoja nifike hapo mbele nakuja saiviMajaribu gani tena jamani we mume wa mtu
Marafiki wawe single tu..Aisee kumbe, lakini kwenye uzi huu anatafuta marafiki
Nilikuwa nasubiri kwa hamu nione utajibuje
Nina mpango wa kuhack PM yako manake hapa unaweza kujifanya umepata ila huko PM ikawa different story
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hili ndio sababu wazungu wanajiona bora kuliko sisi ngozi nyeusi, Dini wametuletea wao(white jesus)Hili dili la kiingereza limekuwa muhimu sana kwenye uchumba humu JF.