dogo KATISHA SANA! Lakini sio lazima watangazaji kufanana.
umahiri ni mchanganyiko wa IQ, elimu, utashi, dira binafsi na kujituma.
Na Fina Mango, nadhani hata Gadner Giabash yalimshinda.Huyo Hando ni mpuuzi tu sawa na Kibonde, mtu pekee ambaye aendekezi njaa na kujikomba kwa hawa media house ni Masoud Kipanya tu.
TV ina kiuno?........wanabishania hilo?morning jam ya capital now adays imekuwa yakitoto,eti wana bishana tv inakiuno..badala yakuongelea mambo yalipo ktk nchi hii..yule jamaa aliekuwepo kaenda wapi?nampenda sana,ana iq yakutosha.naomba mnijuze tafathali.
TV ina kiuno?........wanabishania hilo?
Huyo Hando ni mpuuzi tu sawa na Kibonde, mtu pekee ambaye aendekezi njaa na kujikomba kwa hawa media house ni Masoud Kipanya tu.
morning jam ya capital now adays imekuwa yakitoto,eti wana bishana tv inakiuno..badala yakuongelea mambo yalipo ktk nchi hii..yule jamaa aliekuwepo kaenda wapi?nampenda sana,ana iq yakutosha.naomba mnijuze tafathali.
kwa hiyo huwa inakatika!!:A S tongue: